SHAKIRA, PIQUE WATEGEMEA MTOTO.

MWANAMUZIKI nyota kutoka Colombia, Shakira amesema kuwa anategemea kupata mtoto wa kwanza na mpenzi wake ambaye ni mcheza soka wa kimataifa wa Hispania, Gerard Pique.

MWANAMITINDO MTANZANIA FLAVIANA MATATA AFANYA MAHOJIANO NA IDHA YA KISWAHILI YA BBC


 The supermodel and former Miss Universe Tanzania (2007), Flaviana Matata, was in the UK for the London Fashion Week.

PICHA ZA VITUKO MH, HOW AND WHY?


SELECTED APPLICANTS FOR THE 2012/2013 ADMISSIONS

SELECTED APPLICANTS FOR THE 2012/2013 ADMISSIONS

The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) is announcing the names of Applicants who were seleted into various programs for the 2012/2013 Admissions. However, the list of  some applicants who were selected into various programs but obtained no loan, applicants who were returned by some institutions, and selected applicants who asked for transfer, will be announced before 21 September 2012
 
To view selected applicants with Loans, please click here...

To view selected applicants through Mozambique Scholarships, please click here...

To view selected applicants with Loans but subject to verification with HESLB (Previous Lonee), please click here ... 
 

WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO 2012/2013 BOFYA HAPA

KWA MAELEZO ZAIDI INGIA http://www.tcu.go.tz

Magazeti Leo Ijumaa


RAIS KIKWETE AKANA KUMUUZIA GEORGE BUSH ENEO LA KIGAMBONI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 20, 2012, ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwaonya watu ambao amewaeleza kuwa wanavyo viwanda vya kutunga uongo kuacha tabia hiyo na kuelekeza nguvu kwenye maendeleo.

AIBU: MISS TABATA 2011, "FAIZA ALLY" APIGA PICHA CHAFU NA KUSAMBAZWA MTANDAONI NA MTU WAKE


 MISS  TABATA 2011,    FAIZA ALLY
Kweli sasa naamini ule msemo; "you can remove some people from the bush but you can not remove the bush from their heads" 
Ni aibu kubwa  sana Mtu mzima  kuweka picha za nusu utupu  ambazo ni za mpenzi wako  mkiwa mnafanya mapenzi.Unamdorisha nani ambaye unadhani hajui?

Kero Ya Usafiri Dar Leo Asubuhi


 
Abiria wakisukumana wakati wanaingia kwenye daladala asubuhi hii,tabata mwananchi,chini ni kituoni kukiwa hakuna gari yoyote

FUMANIZI LA AIBU NDANI YA GESTI

Hapa  ulikuwa  ni mwendo wa kutwangana ngumi tu, maelezo baadae
---------------------------------------

KCB Bank Yatoa Msaada Hospitali Za Amana Na Mwananyamala

 Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii  wa benki ya KCB Christina Manyeye akimkabidhi Mganga msaidizi wa Hospitali ya Amana  DK.Shaany Mwaruka  msaada wa Kitanda cha kusaidia wajawazito kujifunguria (Delivery beds)  wkati wa hafla iliyofanyika katika Hospitali hiyo jijini Dar es Salaam.Jumla ya Vitanda Vitano  na Mashine moja ya kutunzia watoto  ambao wanezaliwa  kabla ya muda wake vyote vikiwa na Thamani ya shilingi milioni 15,5. Vilitolewa na benki ya KCB.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Asha Mahita, kulia ni Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungo na Matroni wa Hospitali ya Amana Sr.Agnes Mwega.

"JB NAYE NI KICHECHE KAMA WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL".......NEY WA MITEGO


Msanii wa muziki  hapa  nchini, Ney wa Mitego jana amemuangushia bomu muigizaji wa filamu nchini, Jacob Steven aka JB kuwa hana tofauti na waigizaji wa Bongo Movies anaowachukulia kama vicheche.

Makaburi Ya Tana River Yafukuliwa


Polisi na wataalamu wa kuchunguza maiti wamepigwa na mshangao mkubwa baada ya kukosa kupata chochote ndani ya makaburi ya siri yaliyogunduliwa katika eneo la Tana River.
 Polisi walipewa amri ya kufukua makaburi hayo hii leo katika kijiji cha Ozhi ambako mapigano kati ya jamii za Orma na Pokomo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu miamoja na kuwaacha maelfu bila makao. 

MAJINA YA WALIOPATA MKOPO TOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA:TAFUTA JINA LAKO KWA KUTUMIA ALFABETI YA CHUO ULICHOPANGIWA NA TCU

MAJINA YA WALIOPATA MKOPO TOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA:TAFUTA JINA LAKO KWA KUTUMIA ALFABETI YA CHUO ULICHOPANGIWA NA TCU

 1: KWA WANAFUNZI WA UNIVERSITY OF DODOMA
     KU DOWNLOAD  <<< BOFYA HAPA>>>

2: KWA WANAFUNZI  UDOM NA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
    KU DOWNLOAD  << BOFYA HAPA>>

3:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA UDSM, UOA, UOAB, ZIFA NA  ZU
    KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

4:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA TUDARCO, TUICO, TUKCMC, TUMA,
    UCEZ NA  UDOM
    KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

5:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA SUA, SUZA, TEKU, TIA NA TUDARCO
   KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

6: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA SJUCIT, SJUTDSM, SMMUCU NA SUA
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

7:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA RUCO, SAUT, SEKUDO, SJUCAST
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

8: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA DUCE, ETU, HKMU, IAA, IFM, IMTU
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

9: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA MUCE, MUHAS, MUMBEYA, MWUCE,
    NIT, OUT NA RUCO
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>


10: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA IMTU, IRDP, ISW, ITA, JOKUCO, JUCO,
       KIU, MIST MMU, MNMA, MU, MUCCOBS NA MUCE
       KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

11: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA AKA, AMUCTA, ARU, CBEDSM, CDTI,
      COET, DIT NA DUCE
      KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

PICHA: ELIZABETH MICHAEL "LULU" AKIWA MAHAKAMANI SIKU YA JUMATATU

Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa makakamani katika mahakama ya rufani, jana baada ya kusikilizwa kwa maombi ya upande wa jamhuri ya kuomba kupitiwa kwa uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar Es Salaam wa kukubali kufanyia uchunguzi umri wa msanii huyo

HAFSA KAZINJA APEWA SHAVU NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Hafsa Kazinja akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Bi. Mwanaidi Maajar
Mwanamuziki wa kike nchini Tanzania aliyewahi kutamba na wimbo ‘Pressure’ aliomshirikisha Banana Zorro, Hafsa Kazinja, yupo ziarani nchini Marekani.

MARIAH CAREY AZUNGUMZIA BIFU LAKE NA NICKI MINAJ



Mariah Carey
Kumekuwepo rumors zilizozagaa kwenye mitandao kuwa kuna beef la chini chini kati ya Mariah Carey na Young Money rapper Nicki Minaj, ambao wote ni majaji wa American Idol.

JACKLINE WOLPER NAYE AMPAKA MATOPE UWOYA: " UWOYA ANAUELEWA MDOGO KIFIKRA NA SIHITAJI KUCHEZA NAYE MOVIE MOJA"


BAADA ya msanii Irene Uwoya kudai kuwa msanii mwenzake Jackline Wolper hana kiwango cha kuweza kushiriki naye kwenye filamu moja, naye Wolper amejibu mapigo kuwa hata yeye haitaji kucheza naye kwani anaamini kiwango chake si cha mdomoni bali mara zote anakionesha akiwa kazini na hata mashabiki zake wanajua hilo.

HII NDO FAMILIA YA JOSE CHAMELEONE



Daniela akiwa na wanae Abba na Alfa nchini Italia
Jose Chameleone anaweza kuonekana jeuri na mtata mbele ya mashabiki wake. Lakini kuna kitu kimoja ambacho wengi wanaweza wasiwe wanafahamu.
 Chameleone ni baba anayeipenda familia yake na anayewajibika kuiweka katika mazingira mazuri kadri awezavyo.

Magazeti Leo Jumatano


Ugumba Wawatesa Watanzania Wengi



Na: Florence Majani na Herieth Makwetta. Mwananchi

TATIZO la uzazi linaonekana kushika kasi nchini baada ya idadi kubwa ya wanandoa kukimbilia Kenya kupata huduma ya upandikizaji wa watoto kwa gharama ya zaidi ya Sh5 milioni.Kati ya wageni 10 wanaokwenda katika vituo vya upandikizaji vya Aga Khan na Nairobi IVF Centre nchini humo, wanne wanatoka Tanzania.

MAMBO YA BIG BROTHER: HATIMAYE GOLDIE ATIA MGUU NCHINI KENYA NA KUPOKELEWA NA PREZZO


Prezzo & Goldie
Aliyekuwa mmoja wa washiriki na wawakilishi wa Nigeria katika jumba la Big brother Stargame 2012 Goldie, jumamosi iliyopita 15thsept 2012 aliland katika ardhi ya Kibaki mishale ya midnight.

Msibani Kwa Tundu Lissu Jana


HII NDO KAULI YA MWISHO YA ORIJINO KOMEDI KUHUSU HALI YA VENGU

Nafaham ni watanzania wengi ambao wanalo hili swali kama mimi, toka tulipoacha kumuona msanii/mchekeshaji Vengu kwenye ORIJINO KOMEDI baada ya kuumwa, zilizuka stori nyingi sana lakini stori ya mwisho mimi kuipata ni kwamba alisharudi Tanzania akitokea kwenye matibabu India na afya yake inaendelea vizuri.

WILSHERE KUREJEA UWANJANI KARIBUNI.

KIUNGO wa klabu ya Arsenal, Jack Wilshere anatarajiwa kuongeza nguvu katika kikosi cha Arsenal Wenger wakati atakapoanza rasmi mazoezi na klabu hiyo wiki hii. Wilshere mwenye umri wa miaka 20 amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu ambayo yamesababisha kuwa nje ya uwanja toka Agosti mwaka 2011 lakini kiungo huyo wa kimataifa wa Uingereza anatarajiwa kusahau yote hayo na kurejea uwanjani tena.

FABREGAS ASIFU UWEZO WA WENGER.

KIUNGO wa klabu ya Barcelona, Cesc Fabregas amedai kuwa Arsene Wenger ana kipaji cha kipekee katika kuendeleza wachezaji chipukizi na kusisitiza kuwa mfaransa huyo ataiongoza Arsenal kushinda taji msimu huu. Fabregas ambaye aliondoka Arsenal Agosti mwaka jana anaamini kuwa Wenger mwenye umri wa miaka 62 ana uwezo wa kuwapa ujasiri na kujiamini zaidi wachezaji chipukizi katika kikosi chake hicho.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: VIWANJA NANE KUWAKA MOTO ULAYA LEO.

MENEJA wa klabu ya Manchester City, Roberto Mancini ametamba kuwa kikosi chake kimejiandaa vyema kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Klabu Bingwa ya Ulaya dhidi ya Real Madrid katika Uwanja wa Santiago Bernabeu baadae usiku.

WENGER KUANZIA JUKWAANI UFARANSA.

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger anatarajiwa kukaa jukwaani na kumuangalia msadizi wake Steve Bold akichukua nafasi yake wakati klabu hiyo itapopambana na Montpellier katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baadae leo. Wenger hatakuwemo kwenye benchi la ufundi kutokana na kuanza adhabu yake ya kufungiwa michezo mitatu na Shirikisho la Soka barani Ulaya-UEFA hivyo majukumu inabidi amuechie msaidizi wake huyo.

Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa yaendelea Iringa

Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalkama barabarani leo yameingia siku ya Pili ambapo kitaifa yanafanyika mjini Iringa katika Uwanja wa Sokoine na kushirikisha wadau mbalimbali wa Usalama barabarani. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”. Pichani ni Meneja Masoko na Utafiti wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) akitoa maelekezo kwa vijana na watoto waliofika bandani hapo leo.

JUMBA LA EBSS 2012

 Hili ndilo jumba la kifahari la wshiriki wa EBSS ambapo watakuwa wakiishi katika kipindi chjote cha shindano lao. Ni jumba la kifahari lililosheheni kila aina ya vitu.

Mheshimiwa Ndesamburo Akutana Na Mwenyekiti Wa Chadema Uk

Mheshimiwa Ndesamburo, mbunge wa moshi mjini akiwa pamoja na mwenyekiti wa Chadema UK walipokutana jana mjini London UK

BAVICHA Taifa Wakutana Morogoro Kuweka Mikakati Ya Kuimalisha Chama Chao

Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa zamani wa TBC, Jerry Muro ( kushoto) akito salamu zake kwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji cha Bavicha Taifa iliyoketi Mjini Morogoro kuanzia Septemba 14 hadi 18, mwaka huu.

Msemaji Wa Boko Haram Auawa Nigeria

Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa limemuua mtu anayeshukiwa kuwa msemaji wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Boko Haram.
Kwa mujibu wa jeshi hilo, wanachama wengine wakuu wa kundi hilo pia walikamatwa katika msako mkali wa jeshi uliofanywa ,mapema leo Kaskazii mwa mji wa jimbo la Kano.Kundi hilo la Boko Haram bado halijatoa kauli yoyote kuhusiana na mauaji hayo yanayodaiwa kufanywa na jeshi.

SHILOLE AGWAYA KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE KISA KIKIWA NI KUHOFIWA KUPORWA....!!!


STAA wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameiambia jicholetu  kuwa anaogopa kumtambulisha kwa mashosti zake bwana’ke aliyenaye kwa sasa akihofia kuporwa.

MWANAMITINDO WA TANZANIA, FLAVIAN MATATA ASHIRIKISHWA KWENYE VIDEO YA LADY GAGA

Mwamitindo wa kimataifa wa Tanzania na Miss Universe Flaviana Matata jana amepost picha akiwa na Lady Gaga ambaye hata hivyo sura yake haionekani vizuri kwakuwa anaonekana usoni akiwa amevaa maua yaliyozungushwa kwenye duara.

MAPRODUCER WA NIGERIA WAMPA SHAVU "ODAMA" LA KULA BATA UINGEREZA NA MALAYSIA


Staa wa tasnia ya filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekula shavu la kufanya ziara ya kikazi nchini Malaysia na Uingereza.

Dk.Titus Kamani Adai Anachafuliwa


na mwandishi wetu
MIKAKATI na kampeni za majitaka zenye lengo la kumchafua Mbunge wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani, zimeanza kubainika kwa kumhusisha na tena na tuhuma za mauaji.

HII NDO VIDEO YA MAKAMUZI YA SERENGETI FIESTA JAMHURI MOROGORO USIKU HUU


Msanii mahiri katika mahadhi ya Mduara AT akiduarika na mmoja wa densa wake jukwaani 

Mwakyembe Atua Ujerumani


 mhe. waziri akiwa na Balozi wa tz Berlin Mhe. Ahmada R. Ngemera (kushoto) na Afisa wa Wizara ya mambo ya Nje, Ali Ubwa Mussa

DIAMOND AFUNGUKA TENA: "HUU NDO UKWELI WA MAHUSIANO YANGU MIMI NA WEMA SEPETU"

 Huu ndo ujumbe  alioutoa  msanii Diamond:
"Najua watu  wengi  sana  mnapenda  couple hii na  furaha  yenu ni kutuona wawili  sisi  tukiwa  kwenye  mahusiano ya kimapenzi......na mmekuwa  mkifurahi   sana  na  stori  za  hapa  na pale mkisikia  wawili  sisi  tumekuwa  pamoja  na  hata pindi mkituona tuko pamoja pia mmekuwa  mkishangilia  na kufurahi.........

Magazeti Leo Jumatatu

"NINAPOKUWA KITANDANI HUWA SINA UJANJA MPENZI ANAPONICHEZEA NYWELE ZANGU"...ISABELLA

MISS Ruvuma 2006/07 , Isabela Mpanda ‘Bella’ amefunguka kuwa mwanaume wake anapomchezea nywele na maeneo nyeti na kifuani huwa habari yake inakwisha kabisa na kujikuta hoi bin taabani.

NEW VIDEO: JAFFARAI FT. NAZIZI – "TEMBEA NA MIMI"

NEW VIDEO: JAFFARAI FT. NAZIZI – "TEMBEA NA MIMI"

 

DOGO JANJA ATIMIZA MIAKA 18

 Dogo Janja msanii kutoka Mtanashati Ent, anasema anajisikia poa sana kutimiza miaka 18  na kuingia step nyingine ya maisha.

TUNDAMAN AJIPANGA KUFANYA VIDEO NAIROBI


Nyota wa Muziki wa Bongo flava Nchini kwa jina la Khalid Ramadhani alias Tundaman hivi karibuni anatarajia kufanya video ya nyimbo yake mpya na Ogopa Video Production toka pande za Kenya. 

PIPI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Msanii anayetamba na video yake mpya inayoitwa UNAPOKUWA MBALI hapa namzungumzia PIPI jana usiku alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la KINGSTONE

Mwenge Wa Uhuru Wawasili Mkoani Rukwa


 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mjini Sumbawanga .

BABA LEVO AJA NA NGOMA YA KUACHANA POLISI KWA UKATILI WAO

Msanii wa Kigoma All Stars ameachia ngoma iitwayo ‘Breaking News’ aliyoitunga kwaajili ya kuwachana polisi waonevu na wala rushwa.
Miongoni mwa mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo ni pamoja na,

HAYA NDO MASWALI TULIYOMUULIZA BANZA STONE KUHUSIANA NA SABABU ZA KUWAZA KUFA NA KUTUNGA NYIMBO ZA MWISHO

Hivi karibuni Banza Stone amekaririwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa amekata tamaa ya kuishi na amekuwa akiota ndoto za kufa. 
Alisema kuwa yupo kwenye mpango wa kutoa nyimbo zake za mwisho kabla Mungu hajamchukua rasmi.

" NILIPIGA PICHA YA UTUPU KUONESHA FURAHA YA BIRTHDAY YA MWANANGU".......... UTETEZI WA UFANDE SELE


Internet ni maktaba kubwa ambayo maandishi, muziki, video na picha zikishasambaa huwezi kuvifuta daima. 

Na ndio maana picha maarufu ya mfalme wa rhymes Seleman Msindi aka Afande Sele inayomwonesha akirap jukwaani akiwa kifua wazi na kuvua suruali huku akibaki na ‘boxer’ nyeusi imeendelea kuwa jinamizi linalomrudia kila kukicha.