MANECKY AFUNGUKA KUHUSU TUHUMA ZINAZOMKABILI KUHUSU BEAT YA "DIAMOND" "NA PASHA"


Wakati wimbo wa Diamond ‘nataka kulewa’ ukitengeneza topic kwenye media kibao TZ na kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo wengi wanasema beat hiyo inafanana asilimia 100 na ile ya beat ya wimbo wa Pasha alomshirikisha Tunda Man ‘Mtoto Amekua’, Manecky wa AM records ambae ndiye aliyetengeneza ‘nataka kulewa’ amesema beat ya wimbo huo ni tofauti kabisa na ile ya wimbo wa Pasha.

HUU NDO MOYO WA "CHUMA" WA JACK PATRICK USIO NA CHEMBE HATA MOJA YA HURUMA

 
 MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake utakuwa mbaya.

Magazeti Leo Ijumaa


VIDEO YA MWANAMKE ALIYETINGA MAHAKAMANI AKIWA UCHI WA MNYAMA.....


Balaa hili limemkumba  binti mmoja ambaye aliuacha hoi umati wa watu pale alipoweka maumbile yake hadharani mbele ya JAJI mwendesha kesi.......

HAYA NDO MADHARA YA KUPIGA PICHA ZA NUSU UCHI HII NI  PICHA YAKE  ILIYO EDITIWA  NA  WATU NA  KSAMBAZWA FACEBOOK

Iko  haja ya wasani  wetu    pamoja na  watu  wengine kuwa  makini  sana  na upigaji wa picha za nusu uchi  kwa sababu ni  rahisi sana kwa watu wenye  ujuzi   kuzi edit  hizo  picha.....

"MAMA USIJE KWANGU BILA TAARIFA.....VINGINEVYO WALINZI WATAKUTIMUA".......WEMA SEPETU


KITENDO cha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kuwaambia walinzi wake kuwa kama hajatoa maagizo yoyote kwamba mama yake, Mariam Sepetu anakuja, akifika mlangoni asifunguliwe kimewashangaza wengi.

ALICHOANDIKA JOHN KITIME KUHUSU RAY C NA DAWA ZA KULEVYA.

Wezi wa Magari Waendelea kuwafanyizia Mastaa-Sasa Zamu ya Gari la Geha Habibu wa Clouds Fm

Ndani ya wiki moja kutoka sasa wimbi la watu maarufu kuibiwa vifaa mbalimbali kwenye magari yao, Mh Temba, Sumalee kaibiwa gari kabisa, na sasa ni mtangazaji wa Clouds Fm Gea Habib ambapo gharama ya kuvirudisha vilivyoibwa sio chini ya milioni moja na kuna jamaa wamempigia simu wakamwambia wanavyo vitu anavyohitaji.

Wema Amharibu Diamond Platnum-Aanza Kuchuja


MISS Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu kabla ya mwaka 2010, alishahusishwa kimapenzi na wanaume kadhaa, akiwemo Khaleed Mohamed ‘TID’, Hery Samir ‘Mr. Blu’, Jack Pemba, Jumanne Kihangala ‘Mr. Chuz’, Hartmann Mbilinyi, Jumbe Yusuf, marehem Steven Kanumba ‘The Great’ na wengineo.

Magazet Leo Jumatano


JK: Ampa Pole Katibu Wa Mufti Wa Zanzibar Aliyemwagiwa Tindikali

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura katika Hospitali ya Taifa ya Muhiombili kufuatia majeraha ya usoni na kifuani yaliyotokana na  kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe mjini Unguja juzi

Uchaguzi Wa Marekani Umefuatiliwa Na Wengi Duniani

Mamilioni ya watu  duniani wamefuatilia uchaguzi huu. Kuna mengi tunayojifunza kutokana na uchaguzi huu.

KARAHA YA STAREHE ZA VIJANA WA KIHUNI

Kundi la vijana wa kihuni wakijaribu kumuingiza chupa ya bia makalioni dada aliyekolewa na uhondo wa muziki wa kundi la Jahazi Modern Taarabu 

UPDATE: MPAKA SASA OBAMA YUKO NYUMA YA ROMNEY KWA KURA SITA.....MATOKEO BADO YANAENDELEA KUTOKA


Rais Barack Obama ameshinda katika majimbo ambayo yalikuwa muhimu sana kubaini mshindi wa uchaguzi huu ambayo ni Michigan na Pennsylvania, pamoja na mengine ambayo alishinda katika uchaguzi wa mwaka 2008.

MWANAMKE ACHOMWA PASI MWILI MZIMA BAADA YA KUTEMBEA NA BABA MKWE WAKE MARA TATU

Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina  la Henry amejikuta mikononi mwa vyombo vya dola baada ya  kumchoma mkewe  sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia  pasi na kumuua mtoto wake  wa  mwaka  mmoja kwa madai kuwa mwanamke huyo amekuwa akitoka kmaenzi na baba yake mzazi........

BABY MADAHA AJIUNGA NA KUNDI LA "TMK WANAUME HALISI"

MSANII wa muziki na filamu Baby Madaha, ameuambia mtandao huu kuwa kwa muda mrefu amekuwa akitamani kufanya kazi na kundi la muziki kutoka Temeke, TMK Wanaume Halisi, hivi sasa tayari ameshajiunga na kundi hilo na anadaii atafanya muziki wake kwa moyo mmoja kwani kundi hilo halina ubabaishaji kama yale mengine aliyotaka kujiunga nayo awali.

TOILET PAPER ZENYE SURA YA OBAMA ZASAMBAA KWA KASI FLORIDA FIRE STATION

Yakiwa yamebaki masaa machache wananchi wa Marekani waanze kupiga kura kumchagua rais wa nchi hiyo kwa awamu nyingine, visa na mikasa ama vituko vimezidi kutawala katika kampeni za uchaguzi huo labda ni mzuka wa kuonesha hisia za watu tofauti tofauti kwa yule wanaemsapoti na kumponda wasiyemsapoti.

UCHAGUZI WA MAREKANI NI KSHO....OBAMA ANAKIBARUA CHA ZIADA KUTETEA KITI CHAKE CHA URAIS

Wagombea wa urais wa Marekani Barack Obama na Mitt Romney wanaisogelea siku ya uchaguzi huo utakaofanyika kesho kwa kumalizia kampeni zao za mwisho.
Jana Romney alikuwa akizungumza na wapiga kura kwenye jimbo la Pennsylvania ambalo wasaidizi wake wanasisitiza kuwa atalichukua.

Magazeti Leo Jumanne


Pele: Hakuna Njia Ya Mkato Katika Kutafuta Mafanikio

 Na: Boniface Wambura

Nyota wa zamani aw Ghana na klabu ya Olympique Marseille, Abedi Pele, amewaambia wachezaji chipukizi wa Tanzania kuwa "hakuna njia ya mkato katika kutafuta mafanikio" na kuwataka kufanya jitihada ili watimize ndoto, ikiwa ni pamoja na Serengeti Boys kuhakikisha inafuzu kucheza fainali za Afrika mwakani.

Magazeti Leo Jumatatu"ALIYEKUWA AKISAMBAZA PICHA ZANGU ZA UCHI NI MPENZI WANGU"...RAYUU

MSANII aliyeshika kasi baada ya picha zake zilizokuwa zinamuonesha sehemu kubwa ya mwili wake kuvunja, Rayuu amesema kuwa baada ya kufanya uchunguzi juu ya ishu hiyo amegundua kuwa mtu aliyekuwa anasambaza picha zake ni mpenzi wake ambaye kwa muda mwingi walikuwa kwenye mzozo mkubwa uliosababisha kuachana kwao.

HAYA NDO MALIPO YA USALITI NA UZINZI

Mashindano Ya Kusaka Vipaji Ya Kabati Katiba Star Search Iringa Yafikia Patamu


 Majaji  wa  shindano  ya Kabati katiba star search wakiwa katika  picha ya pamoja na mdhamini mkuu  wa mashindano hayo mbunge wa  viti maalum mkoa  wa Iringa Ritta Kabati (CCM) wa  pili  kushoto ,wengine ni Agnes Muba Temy Mahondo na jaji mkuu Edo Bashir ( wa  pili kulia) na jaji mwingine  ni Dj Yeyo hayupo  pichani

Trafiki Police Walipiza Kisasi Wampa Kichapo Cha Mbwa Mwizi Mwanajeshi

MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam

Kwa Hili, Namtetea Shilole
Mpiga picha akiibukia kwa chini ya Shilole kutafuta “utupu”
 kwa nguvu

Hongera Kwa Mwamuziki Crazy GK na Mtangazaji Fetty Kwa Kupata Degree ya Kwanza


Dj Fetty

Magazeti Leo Jumapili


Mpinga Afunga Mafunzo Ya Bodaboda Dar


 Mgeni rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani  Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti

POLISI YAMWACHIA LORD EYEZ KWA DHAMANA MAALUM

Stori za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkali wa Hiphop kutoka A Town ambae alikua anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya gari la Ommy Dimpoz, Isack Waziri (Lord Eyes) hivi sasa yuko nje kwa dhamana.

Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi Kimara B Watembelea Makumbusho Ya Bagamoyo