JICHO LETU

JICHO LETU

UPDATE TOKA ARUSHA: VIJANA WATANO WANYONGWA KIKATILI JIJINI ARUSHA

Habari za kusikitisha kutoka Jijini Arusha  zinaeleza kuwa jumla miili ya watu watano imepatikana mapema alfajiri katika Mto Nduruma uliopo maeneo ya Tengeru, baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana hadi kufa. Miili hiyo ya marehemu hao vijana, imekutwa na majeraha kichwani na alama za minyororo shingoni na wengine kamba za katani kama inavyoonekana pichani
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: NEWS
Newer Post Older Post Home

FOLLOW ME ON FACEBOOK

Most Viewed

  • LOWASSA APONGEZWA NA BAKWATA KWA KUVISHWA JOHO MAALUMU.....MILIONI 590 ZACHANGISHWA KATIKA HARAMBEE
  • MWALIMU WA MADRASAT ALIYEMLAWITI MWANAFUNZI AFUNGWA JELA MIAKA 15 HUKO ZANZIBAR
  • VIDEO MPYA YA BOB JUNIOR "KIMBIJI" ALIYOWAHI TOA VIPANDE AKISULUBIWA KARIAKOO
  • MASHABIKI WAMVAA PREZZO BAADA YA KUMPONDA MSANII DIAMOND WA TANZANIA
  • KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NDIO KUKOJE?
  • JANUARY MAKAMBA AWATAKA WANANCHI WAWALAU WABUNGE WAO KUHUSU KODI YA 1000 KWA KILA LAINI.....ADAI WIZARA YAKE ILIPINGA VIKALI
  • UMATI WA WATU WALIOJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI
  • MADHARA YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....
  • MSHIRIKI WA TANZANIA ( NANDO ) AAMBUKIZWA MAGONJWA YA ZINAA BAADA YA KUFANYA MAPENZI NA MGHANA KATIKA JUMBA LA BIG BROTHER
  • "SIONI TATIZO KWA LULU MICHAEL KUPIGA PICHA NA PENNY....HUO NI UMBEA WA MAGAZETI"..WEMA SEPETU
Simple theme. Powered by Blogger.