TAARIFA ZA AWALI KUHUSU MFANYABIASHARA ALIYEJIRUSHA TOKA GHOROFA YA TISA KARIAKOO



MSANII ROSE NDAUKA AAMUA KUTAFUTA MAWAZO YA WATOTO WA MITAANI ILI KUBORESHA FILAMU ZAKE, HIKI NDO ALICHOKISEMA


 



MSANII wa filamu nchini Tanzania Rose Ndauka azidi kujizolea umaarufu na kuongeza mashabiki wa aina zote kwa kuwa karibu na watoto wa mitaani hususani katika matembezi yake ya kila siku

MWANAFUNZI WA SEKONDARI ANIKOSESHA RAHA NDANI YA NDOA YANGU.


 

Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini.Nilikutana na Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa Lock ya Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.

UNATONGOZWA OVYO NA WANAUME...? DAWA NDIO HII


 

Leo nimeona nizungumze juu ya tabia ya baadhi ya wanawake kutongozwa hovyo. Kiukweli ni tabia ambayo inakera. Kila ukipita huku unaitwa, ukienda kule unaitwa, hili tatizo lipo kwa wanawake wengi hasa wa mijini.

HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI....!



Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza! 

"BILA CONDOM HUWEZI KULIFAIDI PENZI LANGU HATA UKINIHONGA MABILIONI"...SHILOLE



Mwigizaji na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Zena Mohamed, maarufu kwa  jina  la   shilole amedai kuwa anaweza kufanya ujinga wowote humu duniani lakini linapokuja suala la mapenzi kamwe hawezi kwenda pekupeku ( bila  condom )  ....

MAJAMBAZI MATANO YAUAWA NA POLISI JIJINI MBEYA LEO MCHANA



MWALIMU WA MADRASAT ALIYEMLAWITI MWANAFUNZI AFUNGWA JELA MIAKA 15 HUKO ZANZIBAR



BAADA ya mahakama ya mkoa Vuga kumwachilia huru mwalimu wa madrasat Qadiria iliyopo Amani wilaya ya Mjini Unguja, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume wa miaka 11, hatimae mahakama kuu ya Zanzibar imemfunga jela miaka 15.

"HAKUNA ZAWADI KUBWA NILIYOPEWA NA MUNGU ZAIDI YAKO DIAMOND...NAKUPENDA SANA"......PENNY




Pengine  utundu  wa Diamond  ndo  kitu  pekee kinachowafanya  akina  dada  wamgombanie..Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.

MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM -DAR AFARIKI DUNIA KWA KULISHWA SUMU NA MKE WA MTU.....




Habari   zilizotufikia  toka  IFM- Dar es salaam  ni  kwamba  mwanafunzi  mmoja ambaye  bado  hatujafanikiwa  kulipata  jina  lake  amefariki  dunia  kwa  kulishwa  sumu  katika  chakula  alicholetewa  na  mpenzi  wake  ambaye  ni  mke  wa  mtu......
 
Support : Jicholetu| Jicholetu | Expert !
Copyright © 2011. JICHO LETU - All Rights Reserved.
By favour of Jicholetu
Proudly powered by Jicholetu