LINAH AFANYA MAHOJIANO NA "SPORAH SHOW " NCHINI UINGEREZA
Diva
wa kike Linah Sanga ambaye kwa sasa yupo nchini Uingereza jana
amefanya mahojiano katika kipindi pendwa cha TV kwa wana Afrika
Mashariki waishio nje ya nchi “The Sporah Show” ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa uwepo wake katika nchi ya hiyo kabla ya shoo zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii.