Kumekuwa na wingi kubwa sana la
watumiaji wa Black Berry Messenger Hapa Tanzania Kama njia Moja wapo ya
Mawasiliano lakini watu wengine wameanza kuitimia Vibaya njia hii hasa
Dada Zetu kwa kuwa Omba Omba na Kuwapiga Mizinga ya Hela Wanaume kwa
kupitia BBM
Unakuta hata Hamjui Anae Chat nae na lakini bila aibu anaanza Kuleta Shida Zake..
Wengine Ni Mastaa Kabisa wa Hapa Bongo lakini unakuta wanalia Njaa kwa wanaume...
Tunazo Screen Shot ya Baadhi ya
Conversation tulizotumiwa na Wanaume Mbali Mbali zinazoonyeshe Jinsi
wanavyoomba na kufanya Umalaya kwa kupitia BBM ......
Kwa Kuheshimu Hatuziweki zote hapa Leo.....Tunaanza na huu utanguliza wa Vera.