BAADA YA NEY WA MITEGO KUMKANA NISHA, PICHA ZAO ZA KIMAHABA ZIMEVUJA NA KUENEA KILA KONA


Mie Sisemi Kitu nimezikuta Picha hizi Mtandaoni Baada ya Ney wa Mitego jana kusema kuwa hana uhusiano Na Nisha ,Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa Vidogo Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...Sasa kumbe mwenyewe nae Anaponea Humu humu..Or Is It a Movie?.Wasemaje Kuhusu Hili? 


Picha hizi zimesambaa kwa kasi ikiwa ni siku moja tu baada ya NEY KUKANUSHA KUWA HANA UHUSIANO NA NISHA ...

Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa "MADONGO" Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...


Kumbe na  yeye alikuwa  anaponea huko  huko  
 
Picture Source
:Facebook