Mpango
mzima ulitokea Aprili 13, mwaka huu katika Ufukwe wa Belinda, jijini
Dar wakati mwanadafada huyo alipokuwa amealikwa katika sherehe za
kuwakaribisha wanafunzi wapya wa chuo hicho.
Kutokana na kivazi hicho
alichokivaa na mvuto alionao staa huyo, baadhi ya madenti wakware
walionekana wakipoteza usikivu wa hotuba ya mgeni rasmi na kubaki
kumtazama.
“Mh! Rose ni mzuri jamani uongo dhambi, nilikuwa nikimuona
katika runinga leo nimemuona live daaah!” alisikika denti mmoja
aliyeomba hifadhi ya jina lakeSTAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye ‘industry’ ya filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni alitinga kivazi kifupi ambacho kiliwachengua madenti wa Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) ambao walibaki kumkodolea macho mwanzo mwisho. .