
Msanii mahiri katika mahadhi ya Mduara AT akiduarika na mmoja wa densa wake jukwaani

Msanii
muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Recho akiimba kwa hisia jukwaani
usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa
Jamhuri,mjini Morogoro,ambapo wakazi kibao wa mji huo (hawapo pichani)
wamejitokeza kwa wingi.

Mmoja
wa sanii chipukizi katika shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Ney Lee
akionesha kipaji chake cha kuimba jukwaani

Pichani juu na chini ni Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dayna na kundi lake la Wakali wa Classic wakitumbuiza jukwaani


Mkali wa Supa Nyota,Jo Meka akikamua jukwaani.

Mkali wa kusugua mangoma,Dj Zero akifanya makamuzi yake.

Muziki ni hisia kama hivi.