Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

MASHABIKI WAMVAA PREZZO BAADA YA KUMPONDA MSANII DIAMOND WA TANZANIA


Msanni Prezzo wa Kenya  atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.

50 CENT AMFANANISHA RICK ROSSY NA MWANAMKE......USHAHIDI WA PICHA




Wote tunafahamu kuwa hakuna maelewano mazuri kati ya rapper 50 Cent na boss wa MayBach Rick Ross, leo kupitia Instagram kaweka picha ya Rick Ross akiwa na P.Diddy ambayo ukiitazama kwa haraka haraka  inaweza kukupa tafsiri tofauti kidogo, na kisha akaandika caption 'Good Morning Girl. love is in the air". Itazame hapa

SERIKALI YA CHACHARUKIA MAVAZI YA VIMINI KWENYE FILAMU



TAARIFA iliyotua hivi karibuni inaeleza kuwa, mavazi yasiyo ya heshima vikiwemo vimini yamepigwa marukuvaliwa na wasanii kwenye filamu wanazorekodi na yoyote atayekiuka atakiona cha mtemakuni.
Chanzo chetu makini kilichoomba hifadhi ya jina lake, kimeeleza kuwa waliotoa agizo hilo ni Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Filamu lengo likiwa ni kuhakikisha maadili ya taifa yanazingatiwa.

"WANAUME NI TAPELI NA WAMENIPOTEZEA MUDA WANGU"...QUEEN SUZY




MNENGUAJI wa Bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ amesema hahitaji mwanaume yoyote kwa sasa kwani wanampotezea muda kwa kipindi kirefu.

ORODHA NZIMA YA WASANII WALIOTAJWA KUWANIA TUZO ZA "KILI MUSIC AWARDS" MWAKA 2013


Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Kili mwaka 2013 yametajwa leo. 

JUMA NATURE ATIMULIWA EATV BAADA YA KUINGIA AKIWA AMEVAA KANDAMBILI.....



Msanii mkongwe na maarufu nchini, Juma Kassin Kiroboto, aka Nature, ameonyesha kukerwa na kitendo  cha  kutimuliwa  jana usiku katika kipindi cha burudani cha televishen inayotizamwa africa ya mashariki alipokuwa akifanya nao interview. 

HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON"......MANGE KIMAMBI


 

Baada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwanzao....

MWANAMZIKI ARUHUSU MASHABIKI WAMSHIKE NYETI ZAKE AKIWA JUKWAANI



KUTOKA FACEBOOK:ALICHOKISEMA MANGE KIMAMBI KUHUSU WEMA SEPETU SOMA HAPA.


mange


Aunty Ezekiel "Wabunge wanataka kunivunjia Ndoa"


DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho anaamini kinaweza kuhatarisha ndoa yake.

JACKLINE WOLPER: SITUMII KUNGUMANGA JAMANI HAYA NI MACHO YANGU HALISI.


 

No doubt that Jackline Wolper is one of the most sexiest actresses in Swahiliwood hasa macho yake yakiwavutia fans wake wengi, hata hivyo baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa Wolper anakula kungumanga ambazo zinadaiwa kutumiwa na baadhi ya wanawake wa mjini ili wawe na macho yenye mvuto, hivyo Wolper pia anazila ili macho yake yalegee na kuwa na mvuto wa kimahaba zaidi, huku wengine wakidai kuwa ni macho yake halisi lakini huwa anayarembua na kuyalegeza kusudi ili aonekano ana mvuto zaidi.

WEMA SEPETU;DIAMOND ANATAFUTA KICK KWANGU ASINIFUATILIE NAFURAHI MAISHA NINAYOISHI SASA,SOMA HAPA STORY NZIMA.




Mwanadada WEMA SEPETU amesema hakuna star kama yeye Tanzania,ameyasema hayo leo katika kipindi cha uhead clouds fm na sudy brown baada ya kupigiwa simu na kuhulizwa kuhusu simu aliyompigia DIAMOND

BAADA YA KIMYA KIREFU PENY AFUNGUKA JUU YA UHISIANO WAKE NA DIAMOND STORY NZIMA IKO HAPA.




Mtangazaji wa DTV anayejulikana kama Penniel Mungilwa ama Vj Penny amabye ni mpenzi wa mwanamziki Diamond plutnumz hivi karibuni  Vj Penny ambapo hiv karibuni Diamond  alianzisha uhusiano wa kimapenzi

DIAMOND AMTOSA WEMA SEPETU MBELE YA PENNY,AMPA PENNY SIMU UNAJUA ALICHO KISEMA SIKILIZA HAPA.




Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.

RIHANA TENA SASA IVI ACHEZA UCHI MTAAN KWENYE PARTY HUKO BARBADOS ONA HAPA.


"SHILOLE NI MNAFIKI...MIMI SIKUMBAKA BALI ALINIPA PENZI KWA HIARI YAKE"....MAKALA




MZAZI mwenziye na staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Makala Elias amembomoa staa huyo na kumwambia aache kuungopea umma kuwa alibakwa wakati waliishi naye kinyumba.