Ndesamburo kuhutubia Mkutano Wa Chadema Milton Keynes

Mheshimiwa NDesamburo amewasili kuja kuhutubia mkutano Wetu Milton Keynes jumamosi 15/09/2015NETHERFIELD MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD
MK6 4JB kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku