Showing posts with label NEWS. Show all posts
Showing posts with label NEWS. Show all posts

LAANA...BABA AMBAKA BINTI YAKE NA KUZAA NAE WATOTO..!!


Aziza Kibibi alikuwa na umri wa miaka minane tu wakati baba yake - Mwongozaji wa Tuzo za muziki za MTV - alipoanza kumbaka.

Alipofika miaka 10, somo ambalo Aswad Ayinde alikuwa akimfundisha binti yake 'jinsi ya kuwa mwanamke' likabadilika na ubakaji wake wa mara kwa mara ukazaa watoto watano kutokana na makosa ya kujamiiana kwa kisingizio cha kujaribu kutengeneza damu 'halisi'.

HAYA NDO MATUSI YA WABUNGE AMBAYO SPIKA AMEAHIDI KUWASHITAKI POLISI



Lugha kama hizi zimesababisha Watanzania wengi wakose hamu ya kusikiliza vikao vya Bunge. 
Tumechoshwa  na  lugha  chafu  za  waheshimiwa. Bunge   ni sehemu ambayo tulipaswa kuwa tunasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana.
JOSEPH MBILINYI:
"Mambo mengi  ya  nchi  hii  hayaendi  kutokana  na  SERIKALI PUMBAVU....

MUME WA MTU NUSURA AUAWE NA KAHABA BAADA YA KUGOMA KUMPA MALIPO YAKE



Hatoki mtu hapa: Joseph Hussein akiburuzana na kimada wake Neema Samson baada ya kudaiwa kupenda vya bure.
WAKATI Oparesheni Fichua Maovu katika jamii inayoendeshwa na Global   ikiwa kazini, wikiendi iliyopita ilinasa timbwili zito la aina yake kwa mwaka 2013 ambapo mume wa mtu, Joseph Hussein (31), nusura auawe na kimada...

MBWA AKUTWA NA MGUU WA BINTI WA DARASA LA 7....!!



IMANI za kishirikina zimezidi kukitisa Kijiji cha Isange, Kata ya Isange, Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya baada ya matukio ya kupotea na kuuawa kwa watoto kutokea mara kwa mara ambapo safari hii binti mmoja wa darasa la saba ameuawa na mguu wake kukutwa ukiliwa na mbwa.

TATIZO LA ELIMU TANZANIA SIYO VIBOKO.....BORESHENI MIUNDO MBINU KWANZA BADALA YA KUFIKIRIA KUTEMBEZA VIBOKO


Taifa liko katika wakati mgumu juu mustakabali wa sekta ya elimu kutokana na changamoto mbalimbali zinazoikabili.  Kuna mengi yanazungumzwa, yamependekezwa na mengine bado yanaendelea kutolewa juu ya njia sahihi ya kukoa elimu ya watu wa taifa hili.

HAKUNA SHERIA INAYOMLAZIMISHA MTU KUPIMA UKIMWI ILI AFUNGE NDOA AU APATIWE AJIRA




Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, Fatma Abdul habib Fereji
 
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema suala la kupima Ukimwi ni la hiari kwa hivyo hakuna mwananchi wala mgeni atakayelazimishwa kufanya hivyo endapo akitaka kufunga ndoa au akipatiwa ajira.

BIASHARA YA USHOGA NAYO YASHIKA KASI




Huyu ni shoga ni shoga kamera yetu ilimkuta shoga huyu akiwa katika pilika pilika za kutafuta wateja,serikali ipo katika mchakato wa kupunguza nyumba za kujiuza zijulikanazo kama madanguro,wakati hayo yakiendelea ma kaka poa au mashoga

NAIBU WAZIRI WA ELIMU ATANGAZA KUWASHITAKI WANAODAI KUWA "AMEGUSHI VYETI"


 


NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amesema atawafikisha mahakamani watu wanaodai kuwa ameghushi vyeti vya elimu ya sekondari.  Mulugo alisema amechoshwa na kashfa hizo zinazosambazwa na baadhi ya watu atawafikisha mahakamani endapo wataendelea kumdhalilisha. 

Mulugo alitoa kauli hiyo alipofungua mkutano wa mwaka wa Umoja wa Wamiliki wa Shule za Sekondari na Vyuo Binafsi Tanzania (TAMONGSCO0) jijini Mbeya.

HUU NDO UBAKAJI NA ULAWITI KWA WATOTO WA MITAANI KILA USIKU JIJINI DAR



 
Kadiri siku zinavyokwenda mbele, idadi ya watoto wa mitaani inaongezeka katika Jiji la Dar es Salaam na miji mingine mikubwa kama Arusha, Dodoma, Mwanza, Mbeya na kwingineko.

MECHI KATI YA BSc INFORMATION SYSTEMS NA BSc HEALTH INFORMATION SYSTEMS KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU DODOMA

KATIKATI NI STRIKER MOSE BENGER KABLA YA KUANZA MECHI



KIKOSI HCA BSc HEALTH INFORMATION SYSTEMS
  
Hilikuwa ni mechi ya kukata na shoka kati ya maasimu wakubwa wa mwaka wa tatu  wa Course ya Bsc Informations Systems (Bsc IS) na Bsc Health Information Systems(Bsc HIS) kutoka  College of Informatics and Virtual Educatication(CIVE).Mechi hiyo imechezwa jioni hii katika viwanja vya college ya Social Science, adi mwisho mechi hiyo imekwisha kwa kutoka dro ya kufungana doli moja moja
Vijana wa Bsc IS ndiyo walianza kupata Goli lililo fungwa na striker machachali MOSE MBENGA, na kipindi cha pili mshambuliaji machachali toka HIS MWINYI aliwasawazishia HIS adi mwisho akupatikana mbabe kati ya maasimu hao

"TUNAJIANDAA KUGOMA KWA MARA NYINGINE TENA MPAKA KIELEWEKE"...CHAMA CHA WALIMU


 


Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimetaka Bunge na wazazi kuingilia kati uamuzi wa Serikali wa kukataa kukaa katika meza moja, kuzungumzia nyongeza za mishahara na posho.

Chama hicho kimesema, vinginevyo Serikali inakaribisha mgomo mwingine wa walimu.

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO



Baada ya Wanafunzi kuwa Vichwa Ngumu Serekali yaamua Kurudisha Viboko Mashuleni



Serikali imesema itarudisha adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni ili kujenga nidhamu na kujituma.Akizungumza Dar es Salaam jana wakati akizindua tovuti ya www.shledirect.co.tz inayowezesha wanafunzi kujisomea kwa njia ya mtandao, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo ilisema kuondolewa kwa adhabu ya viboko shuleni kumewafanya wanafunzi wengi kukosa nidhamu na wakati mwingine kujifanyia mambo kienyeji.

PICHA: LULU MICHAEL, MAMA YAKE NA MAMA KANUMBA WATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA




 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo

WANASAYANSI WAGUNDUA KIFAA CHA KUSOMA NDOTO WANAZOOTA WATU USIKU




Wanasayansi nchini Japan jana wamesema wamepata njia ya kusoma ndoto za watu kwa kutumia scanner za MRI kugundua siri za fikira zisizojitambua.

Watafiti wamefanikiwa kile wanachokisema ni “kifaa cha kwanza duniani kutafsiri ndoto za usiku, jambo ambalo limewasumbua wanasayansi kwa miaka mingi.

TUKIO ZIMA LA WACHAWI WAWILI WALIODONDOKA NA UNGO HUKO KAHAMA- SHINYANGA



 
WAZEE WANAOSADIIWA KUWA NI WACHAWI WAKIWA CHINI YA ULINZI KITUO CHA POLISI,KUTOKA KUSHOTO NI MWAJUMA MPONI (70) NA KULIA NI SHIJA NKWABI (80)


Watu wawili wamenusurika kuuwawa usiku wa kuamkia juzi katika kijiji cha Mhongolo wilaya ya kahama mkoani shinyanga, baada ya kukutwa katika mazingira yanayodaiwa kuwa ya kishirikina. 

AUNT EZEKIEL ANASWA AKIWA NUSU UCHI UKUMBINI




   Kweli sikio la kufa halisikii dawa! Licha kuolewa na Sunday Demonte, msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ametia aibu kwa mara nyingine tena baada ya kunaswa nusu utupu ukumbini usiku wa manane....
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwandishi wetu lilijiri juzikati katika Ukumbi wa Nyumbani, mjini hapa ambapo Aunt aliwashangaza mashabiki waliofurika kwenye shoo ya Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO



Tanzania Yaongoza Unywaji wa Mataputapu


Utafiti wa Kituo cha Habari cha Marekani CNN, umebainikwamba Tanzania ni nchi ya sita barani Afrika kwa watu wake kunywa pombe chafu (mataputapu).

Utafiti huo wa Machi 23 mwaka huu, ulibaini kwamba Uganda inaongoza kwa kunywa pombe chafu maarufu kama Luwombo kwa asilimia 14.52 ikifuatiwa na Rwanda kwa asilimia 6.44.Kwa mujibu wa utafiti huo,Tanzania inashika nafasi ya tano kwa kuwa na asilimia 4.52,ikiwa nyuma ya Burundi yenye asilimia 5.07.Ivory Coast imekuwa nyuma ya Tanzania kwa kuwa asilimia 3.55 huku Tanzania ikiipiku Burkina Faso iliyoambulia asilimia 3.77, kwa wa watu wake kunywa pombe chafu.

CHAKUA YAPANIA KUIBURUZA MAHAKAMANI SUMATRA BAADA YA KUPANDISHA NAULI ZA MABASI NA DALA DALA KIHOLELA




Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimesema kinaiburuza kortini Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchikavu (SUMATRA), kwa madai kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wa kuongeza nauli za abiria.