Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa
makakamani katika mahakama ya rufani, jana baada ya kusikilizwa kwa
maombi ya upande wa jamhuri ya kuomba kupitiwa kwa uamuzi wa Mahakama
Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar Es Salaam wa kukubali kufanyia uchunguzi
umri wa msanii huyo