Waziri wa Afya Juma Duni Haji akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 huko katika Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.kulia yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe Juma Khamis na kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Prof,Saleh Idris Muhammed
Wananchi mbalimbali waliohudhurika katika Maadhimisho
ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba
2012 . wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa ajili ya kijifunza
masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B
Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.