"BABA LEVO AMWAGIWA MAVI".....U HEARD YA CLOUDS FM
U heard ya clouds fm inaripoti juu ya kisa cha msanii Baba Levo kilichotokana na kumtemea mtu mate ambapo baadae mtu huyo amekuja kulipiza kisasi kwa kumwagia mavi msanii huyu...... Lisikilize sakata hilo hapo chini