WAMBEA WAMENIACHANISHA NA MPENZI WANGU"....RECHO
Akipiga stori na paparazi wetu, Recho alisema mastaa hao (hakuwataja
majina) wamekuwa wakichukia kuona penzi lao likidumu ambapo wameanza
kutupa maneno ya kimbeya kwa bebi wake.
“Kwa kweli nimeshachoka sasa, kama wakiendelea hivi nitawataja mmoja baada mwingine sababu sasa hivi wamezidi,” alisema
Recho.