88.4 Clouds Fm Yazindua Vipindi Vipya Vitakavyokuwa Vikiruka Mara Kwa Mara 'Live' Kutoka Mtaani

                           
 Kutoka kulia ni Babra Hassan na Jerald Hando.  Babra Hassan na Jerald Hando wakiwa na fundi mitambo.  Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Paul James 'PJ', Babra Hassan na Jerald Hando. wakitangaza kipindi cha Power Breakfast ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kuzindua vipindi vipya vitakavyokuwa vikiruka mara kwa mara 'live'...
                       Kutoka kulia ni Babra Hassan na Jerald Hando.
                            Babra Hassan na Jerald Hando wakiwa na fundi mitambo.
 
Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Paul James 'PJ', Babra Hassan na Jerald Hando. wakitangaza kipindi cha Power Breakfast ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kuzindua vipindi vipya vitakavyokuwa vikiruka mara kwa mara 'live' kutoka mtaani. 
Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Dina Marious na Geah Habib wakiwa katika furaha viwanjani hapo kabla hawajaanza kuendesha kipindi cha Leo Tena.


Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm 88.4 Sebastian Mganga akiongea na (Kutoka kushoto) ni Jerald Hando, Paul James 'PJ', Babra Hassan.