Chris na his girlfriend Karrueche.
.
.
.
Zaidi
ya wiki moja iliyopita zilitoka stori kwamba Staa wa R’n'B Chris Brown
ameachana na mpenzi wake model Karrueche baada ya kukuta msg za Drake
kwenye simu yake.
Inafahamika
Drake na Chris Brown ni maadui sasa hivi, hivyo hiyo ndio sababu
iliyotajwa kuwatengenisha Chris na his girlfriend… stori kamili za sasa
ni kwamba bado wako pamoja hakuna chochote kilichotokea, hizo picha
hapo juu ni wakati wakiwa Ufaransa sasa hivi kikazi na kula goodtimes
pia.
According
to Necole Bitchie wakati Chris akiperform kwenye club moja ya usiku,
alikua akicheza na madem wakali wa France ambapo Karrueche alikua
anatazama na kucheka tu anajua husband to be yuko kazini, na hata baada
ya Chris kumaliza show, wawili hao walionekana wakiwa na furaha na
wakicheka mara kwa mara kama ulivyoona kwenye hizo picha hapo juu… so
hiyo ndio habari ya France.