MB DOGG AWA MUUZA VINYAGO

No doubt  fans wa artist wa singo za "Latifa" na "Si Ulinambia"  ambaye pia ni ex  member wa crew ya Tip Top Connection will be woundering ni nini kinachoendelea kwa upande wake kutokana na ukimya wake kisanaa.
 Well, kwa taarifa yako ni kuwa Mbwana Mohamed alias MB Dogg born in 1983, kwa sasa yuko busy akijitahidi kuisimamisha kazi yake mpya ya uuzaji vinyago.

 According to the close friend wa MB Dogg ambaye mwaka jana kupitia mtandao huu alidai kufungua production house maeneo ya Mabibo kwa jina la Makopa Inc.  ni kuwa biashara ya bidhaa zake ina-shine vyema huko UK na pia Germany.

"Kwa sasa Dogg hayupo nchini kasafirisha mzigo wake wa vinyago kwenda Germany ambapo kwa muda sasa amekuwa akifanya biashara huko".
 
  The best upcoming male artist in the Kilimanjaro Music Awards 2004/05 when contacted from Mpekuzi alifunguka hivi, "Its true napiga biashara ya vinyago si unajua siku hizi mtu hutakiwi kukaa unategemea chanzo kimoja cha mkwanja. Shows nilizokuwa nazifanya hUku Ughaibuni ziliniwezesha kunipa idea ya ujasiriamali na baada ya kuiona opportunity niligundua kwa nini nisiifanye hii kazi."
 
  Does this mark the end of him  kuendelea kufanya music?
 "That's a big NO! kazi zangu za kimuziki bado ziko pale pale, though I'm still hustling to strengthen this new business huku pia nikiwa chimbo na-compose ngoma za hatari, so watu wangu wasiwe na shaka soon vitu vizuri vyaja kwa ajili yao," said Dogg ambaye album yake ya "Si Uliniambia" inaaminika kuwa moja one of the best albams of all time.