Ray Kigosi Atafutwa na Mdogo wake Paul Kigosi

Katika Kipindi cha Hot Mix kituo cha EATV leo jioni Amejitokeza Kijana anae dai anaitwa Paul kigosi akimtafuta kaka yake anaye itwa Ray kigosi, According to EATV ni kwamba walisha mpigia Ray na kusema kuwa hamjui huyo mtu ila leo Kijana huyo amerudi na amerushwa hewani akisizitiza kuwa Ray ni kaka yake ..I hope EATV watamsaidia kijana Huyo Kukutana na Ray ili waongee huwenda ni ndugu kweli ama la.