SHAMRA SHAMRA KUELEKEA FIESTA 2012 TABORA

Maraia wa mji wa Tabora wakikusanyika kwa ajili kuweza kupata taarifa juu ya Fiesta 2012 itakayofanyika wikiendi hii kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi.

Mully B akizungumza na umati wa mashabiki wa Fiesta ndani ya Tabora leo hii
Mbwiga wa Mbwiguke na Mully B wakiongoza timu ya Fiesta kufanya matangazo kwa ajili ya show itakayofanyika wikiendi hii