Yule Mwaafunzi anayedaiwa kuvunja ndoa ya watu ni kama anatafuta Ustaa tu au umaarufu kupitia magazeti ya udaku.Ukweli ni kwamba binti huyu anayefahamika kwa jina la Peris (Tecla Benedict) hajavunja ndoa ya GERVAS na hana uhusiano nae kutokana na habari zilizopatikana kwa muhusikaAwali kabla hajajiunga na chuo cha Magogoni, Peri msanii chipukizi
alikutana na G baada ya kuletwa na msanii mwenzie wa kiume MON G ambaye
husaidiwa kazi zake na bwana G, akimpamba kwamba anajua kuimba huku
lengo likiwa kuingiza sauti ktk wimbo wao mpya unaoitwa Fungua.
Gervas akampa go-ahead Mon binti akapelekwa studio lakini alishindwa kuimba vile prodyuza alivyotaka.
Baadae
Mon akamuombea nafasi nyingine Peri labda itakuwa nafasi yake ya
kutoka sasa ombi lilikubaliwa na kuambiwa asubiri kidogo, baada ya yeye
mwenyewe kusumbua sana kwa simu akapatiwa nafasi ktk studio nyingine
ambapo aliimba wimbo wake akisaidiwa na Mon G .
Wimbo ulishakamilika lakini bado haupo ktk viwango vya kupigwa redioni (kwa mujibu wa wataalam wa muziki) hivyo binti ikabidi aachwe, G na vijana wake wakaendelea na project yao ya Makavulive.
Ukanusho wa Habari iliyoandikwa na Udaku, Amani Alhamisi 6 sept.
1. Kuhusu sms kudakwa na mke, ni kweli yule binti alikuwa akiandika sms kuulizia ahadi aliyopewa kupelekwa studio baada ya ile ya kwanza kuchemka, alipopigiwa simu alijitetea kuwa anaulizia tu kazi kusaidiwa kuingia studio baada ya kuona kimya kingi ila kutokana na kwamba alikuwa akiandika kimitego ya mapenzi ndio maana alipigwa biti kali na mke
2. Kwamba alikubali kuwa ana uhusiano na G, na kwamba G hajawahi kumuona na Pete hivyo hakujua kama ni mume wa mtu... huo ni uzushi dhahiri sababu huyo binti kabla ya kukutana na G watu waliomuunganishia nafasi hio walimwambia kuna bosi wetu anaetusapoti ambae ni G mume wa mtangazaji.

"Mara nyingi tulipokuwa tukikutana akiwepo na huyo binti 'sijawahi kumwona G bila pete yake ya ndoa."
Amethibitisha Mon G ambaye mara zote huwa ndio kiunganishi cha watu
kukutana na ndio anayehakikishaga huyo binti kafika na kumrudisha kwao
Mbagala .
Hivyo, imedaiwa kuwa kabla hajamuona G alijua kabisa G ni nani.
Bwana Gervas anaeleza kushangazwa kwake na habari hizo. Anaamini kuwa labda kuna mtu/watu nyuma ya huyo mtoto anayesababisha huu mzozo!
Pia kachukua nafasi hii kuwaomba radhi ndugu, jamaa na marafiki kuwa wastahimilivu kutokana na hiyo habari kuwa hawapaswi kuamini habari kama hizo unless otherwise muhusika ameongea mbele yao...