JICHO LETU

JICHO LETU

MAFUNDI WA TANESCO IRINGA WAWASHA UMEME WAKATI MWENZAO AKIWA BADO YUKO JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA....



Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: JAMII, NEWS
Newer Post Older Post Home

FOLLOW ME ON FACEBOOK

Most Viewed

  • MESSI, RONALDO NDIYO WACHEZAJI BORA DUNIANI KWASASA - CASILLAS.
  • Sylvia Shally ajifungua
  • JANUARY MAKAMBA AWATAKA WANANCHI WAWALAU WABUNGE WAO KUHUSU KODI YA 1000 KWA KILA LAINI.....ADAI WIZARA YAKE ILIPINGA VIKALI
  • MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA AL MAARUFU KWA JINA LA ''TIMBULO''''' AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO BURUNDI.
  • LOWASSA APONGEZWA NA BAKWATA KWA KUVISHWA JOHO MAALUMU.....MILIONI 590 ZACHANGISHWA KATIKA HARAMBEE
  • "NATAFUTA MUME AMBAYE HATANIBANA KUTAFUTA PESA"....SNURA
  • ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
  • WAZAZI WAUA MTOTO WAKIGOMBANIA CD YA MSANII "DIAMOND"
  • "NAOLEWA KWA AJILI YA STAREHE ZA MAPENZI NA SI KWA AJILI YA KUZAA"...NATASHA WA BONGO MOVIE
  • CHADEMA YABEBA KATA ZOTE NNE ZA ARUSHA
Simple theme. Powered by Blogger.