Cover la filamu hiyo ya Sister Marry.
Baadhi ya vipande vilivyomo katika filamu hiyo.“Asilimia 85 ya filamu niliigizia kanisani na ndivyo walivyosema niviondoe, sina ujanja kwa sasa nimeanza kushuti filamu nyingine kabisa ile labda nije kuirudia upya hapo baadaye,” alisema Ray.
