BAADA ya kuandamwa na skendo kibao za kutoka na vigogo kisura wa video za wasanii wa bongo, Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange,
ameonekana kwenye mkanda wa picha ya ngono ambao umesambaa mtaani
huku ikiwa dili kwa watu wanaotaka kuona umbo la mwanadada huyo.Mkanda
huo unaomuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu, huku utata mkubwa
ukizunguka kujua ni kitu gani kilichosababisha hadi kusambazwa kwa video
hiyo.
Mwandishi mmoja wa mtandao wa udaku hapa nchini alifanikiwa kupata video hiyo ambayo mwanadada huyo ameonekana na kijana mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake.
Baada ya kupatatikana kwa video hiyo mtandao huo ulijaribu kumsaka Agnes ili kufafanua uwepo wake ndani ya video hiyo lakini hakuweza kupatikana kwenye simu yake .