Maafisa wa Benki ya NMB tawi la Zanzibar wakibeba vifaa
Mkurugenzi
Mkuu wa Kamati ya Maafa Zanzibar, Bw. Ali Juma Hamad (Kushoto),
akipokea sehemu ya msaada kutoka kwa Meneja wa Tawi wa Benki ya NMB
Zanzibar, Bw. Mluku Abdallah Maggid, kisiwani Unguja .Msaada huo wenye
thamani ya shilingi milioni 10/- ni maalum kufuatia maafa ya ajali ya MV
Skagit iliyotokea Julai 18, mwaka huu.