Mkurugenzi
wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo
walizoanza kuzifanya Finland wakati wa Tamasha la First Afrika
Chocky akicheza sambamba na wanamuziki wake
Kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela akicheza sambamba na wacheza shoo wenzake Finland
Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa tamasha hilo nchini Finland
Kiongozi
wa Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiwaongoza
wazungu kucheza baada ya kuvutiwa na staili za wacheza shoo wa bendi
hiyo.
Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza huku wakiwa kwenye vazi la asili ya Kitanzani nchini Finland kwenye Tamasha la Fist Afrika