KIGOMA ALL STARS waingia mkoani KIGOMA kwa kishindo.

Pichani: Linex, Peter Msechu & Abdu Kiba
 
Wasanii wale wa bongo fleva waliotokea Kigoma hivi sasa wapo jijini tayari kwa show yao ya tarehe 17/07/2012. Wasanii hao ni kama Linex, Abdu Kiba, Mwasiti, Recho, Banana Zoro, Diamond, Ommy Dimpoz, Queen Dlyn, Macomandor..etc..Show hiyo itakuwa free katika uwanja wa Lake Tanganyika...
Don't miss..