Dk.Harrison
Mwakyembe ,Mwenyekiti wa kongamano la Katiba akizungumza machache kabla
ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mh. Joseph
Sinde Warioba
Hassan
A. Haji kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu ZNZ (TUME) akijibu baadhi ya
hoja zilizoletwa na wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu
Mh.Joseph Sinde Warioba akifunga Kongamano la Katiba lililoratibiwa na TAHLISO.
Naibu
Katibu wa tume ya mabadiliko ya katiba akifafanua Nd.Casmir S. Kyuki
akisisitiza umuhimu wa vijana wasomi katika mchakato huu wa Katiba
Wanafunzi
kutoka vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa umakini hoja mbali mbali
kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Said Nzori kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu Bara (TUME