Wezi wa Magari Waendelea kuwafanyizia Mastaa-Sasa Zamu ya Gari la Geha Habibu wa Clouds Fm
Ndani ya wiki moja kutoka sasa wimbi la watu maarufu kuibiwa vifaa
mbalimbali kwenye magari yao, Mh Temba, Sumalee kaibiwa gari kabisa, na
sasa ni mtangazaji wa Clouds Fm Gea Habib ambapo gharama ya kuvirudisha
vilivyoibwa sio chini ya milioni moja na kuna jamaa wamempigia simu
wakamwambia wanavyo vitu anavyohitaji.