Baadhi
ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili
kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo
kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu
na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi
ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili kuweza
kupata taarifa ya Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo
imepata Ajali ya Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe
Zanzibar.
Baadhi
ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa
katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.