muhimu .. MWANA DADA SHILOLE AOMBA MSAADA kwa AJILI YA MWANAYE>>>> TAFADHALI TUMSAIDIE KWA HILI
Friends
hali ya mtoto c nzuri kiukweli anaendlea kuumwa anasumbuliwa zaidi na
Figo pamoja na Apendex na kwa mujibu wa doctor ktk hospital ya Agakhan
inahtajika asafirishwe kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu!
Friends nawaomba msaada wenu wadhat toka moyoni kwa mwenye chochote
kidogo aweze kunichangia kufanikisha upatikanaji wa pesa ya matibabu!!
Nawaomba friends na fans wote kwa ujumla kutoa ni moyo na c utajiri
chochote ulichonacho waweza nichangia kuweza kuokoa maisha ya mwanangu!
Tafadhali leo kwangu kesho kwako.