UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU)
UNATOA MKONO WA POLE NA RAMBI RAMBI KWA NDUGU NA JAMAA WALIOPATWA NA MAAFA KUTOKANA NA AJALI YA MELI MV SKAGIT ILIYOTOKEA ENEO LA CHUMBE ZANZIBAR SIKU YA TAREHE 18.07.2012.UMOJA WA WATANZANIA NCHINI UJERUMANI UMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA TAARIFA ZA AJALI MBAYA AMBAYO IMESABABISHA VIFO.
UMOJA WA WATANZANIA UNAUNGANA NA WATANZANIA WOTE NCHINI KATIKA

KIPINDI HICHI CHA MAOMBOLEZO.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU UBALIKI UMOJA WA KITAIFA
MFUNDO PETER MFUNDO
MWENYEKITI WA
UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU)
Email: kamati.utu@googlemail.com
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU UBALIKI UMOJA WA KITAIFA
MFUNDO PETER MFUNDO
MWENYEKITI WA
UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU)
Email: kamati.utu@googlemail.com