
Hapa ulikuwa ni mwendo wa kutwangana ngumi tu, maelezo baadae

Mzinzi alielemewa na ndipo alipolia kama mtoto mdogo....Safi sana
--------------------------------------------------
HAKIKA DUNIANI HAKUNA URAFIKI......SHOGA AU RAFIKI YAKO ANAPOKUZUNGUKA NA KUTEMBEA NA MUMEO UNAJISIKIAJE JAMANI?

Picha hii inaonesha mwanamke mzinzi akichezea kichapo cha maana toka kwa ndugu na jamaa
----------------------------------------------------------
VINGINEVYO TUTAENDELEA KUMEGEWA TU.....