Rais Wa Vilabu Vya Waandishi Wa Habari Tanzania Atua Iringa
Rais
wa UTPC Ndugu Kenneth Simbaya akizungumza na waandishi wa habari
katika ofisi za chama cha waandishi mkoa wa Iringa kuhusu mauaji ya
aliyekuwa mwakilishi wa Chanel Ten Iringa, Daud Mwangosi. Picha: Denis
Mlowe, Iringa.