Kampeni Mbeya Watu Wajeruhiwa



Watu hawa, Kada wa CCM na Askari Polisi wamepopolewa kwa mawe siku ya kufunga kampeni Momba, Mbeya.