WEZI WA NG'OMBE WAUA WANAJESHI 42 NCHINI KENYA
Siku
chache tu baada ya kuuawa kwa maafisa wa polisi 42 sasa imedhihirika
kuwa waasi hao waliotekeleza mauaji hayo bado wamepiga kambi katika
milima ya Suguta wakiwa na mifugo iliyoibiwa.
Mpaka sasa, imebainika kuwa hakuna maafisa wowote wa kulinda usalama
waliotumwa katika mlima huo kukabiliana na makachinja hao. Baadhi ya
familia za waathiriwa zinadai mauaji hayo ya jamaa zao yamezingirwa na
propaganda nyingi