MWANAUME AZALIWA AKIWA NA UUME ULIOGAWANYIKA MARA NNE(4)!!
Katika
hali ya kushangaza kabisa mwanaume ambaye alidiriki kuonyesha maumbile
yake ya siri jinsi yalivyo aliwaacha watu HOI wakiwa na masikitiko
makubwa kupindukia..... Amini usiamini bwana huyu amekuwa hana raha katika maisha yake yote tangu anazaliwa kwani
amejikuta katika mikasa mingi ya ajabu ikiwemo kukataliwa na wanawake
ambao alikuwa anawapenda kwa DHATI.
Katika mahojianoo mafupi na vyombo vya
habari husika bwana huyo alibainisha kuwa hali hiyo ni ya
kuzaliwa nayo na imekuwa ikimsumbua kwa muda mrefu....
Tatizo kubwa linalomuumiza kichwa ni kuwa mpaka sasa hajui
ni ipi kati ya hizo nne ambayo haswa inahusika na tendo la ndoa kwa UFANISI.
Chanzo: Gumzo la jiji