HUU NDO UCHAFU UNAOFANYIKA WAKATI WA KUTOA MIMBA...WANAWAKE HUFANYISHWA NGONO ZEMBE KABLA YA KUHUDUMIWA

 DR. JOSHUA
Habari  ndugu zangu....

Leo  nimeamua nizungumzie  juu  ya  tukio  lakusikitisha   kidogo.Tukio  hilo linawahusu  wanawake  ambao  huenda  kwa  madaktari  kutoa mimba......

Wanachofanyiwa  wanawake  hao  UTAKAA  CHINI ULIE....!!!......

Kabla ya  kuhudumiwa,  baadhi ya  madatari  hao huwafanyisha  ngono zembe  kwa  madai  kuwa  MILANGO YAO NI MIDOGO  NA  KWAMBA  ZOEZI  HILO LITAKWAMA.......

Ili  kuupanua  mlango  huo,  daktari  huomba  penzi.Mbaya zaidi  hata  kondomu huwa  hazitumiki.....


Mbali na  kuombwa  penzi, zoezi hilo  mara nyingi hufanyika katika  mazingira  ya  kujificha  na wanawake zaidi  ya  10  hutumia  vifaa vile vile.......Pana  usalama kweli hapo????

Sipendi nionekane mzushi  au  mpotoshaji.....
 Naomba  kuyathibitisha  maelezo yangu kwa kutumia mkanda  ambao ulitegeshwa  katika  hospitali  ......

Mkanda  huo  unamuonesha  Dr. Joshua  ambaye hufanya mapenzi  na wateja  wake kabla ya   kuwahudumia.....

Baada  ya  taarifa hizo kusambaa, wanahabari walifika katika  hospitali hiyo  kwa  lengo la kutegesha  kamera  huku  wakjifanya   wana  mimba na wanataka  kuzitoa.....

AGALIA HUU MKANDA  KWA  SIMULIZI  ZAIDI:
video