SHYROSE BHANJI AFANYIWA OPERATION NCHINI INDIA


Mtandao huu unapenda kumpa pole mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji kwa operation aliyofanyiwa wiki hii nchini India. Kupitia Twitter, ameandika, “I’m so much in pain I’m not even able to talk. Am not doing too good today but the docs & nurses are taking good care of me! Last nite couldn’t sleep due to a lot of pain. Leo pia nimeamka na maumivu sana.”
Ugua pole mheshimiwa na tunakuombea upone haraka.