MBUNGE WA MBEYA MJINI AJA NA NGOMA MPYA “HAKUNA MATATA”


Msanii wa Hip Hop nchini na pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia chama cha Chadema JOSEPH MBILINYI
alialisi Sugu,  ameachia rasmi ngoma yake mpya kwa wewe shabiki wake na jina la ngoma hiyo inafahamika kama “Hakuna matata”...... 
Icheki hapo chini