NDOTO ZA MAKAMUA ZAGONGA MWAMBA


Latest info kutoka kwa MAKAMUA ni kwamba leo baada ya kuchonga nasi aliweza kufunguka na kusema alikuwa na ndoto za kufungua band yake pamoja na studio.

Lakini kwa sasa haitowezekana kwa sababu alikuwa anaanda project zake binafsi za muziki ......

Makamua   alimalizia kwa kusema kwamba mwakani ndiyo ataanza rasmi kupanga mikakati yake ya kufunguka band pamoja na studio yake.