Pamoja na kupiga show ya nguvu jana kwenye uwanja wa taifa wa
burudani, Dar Live uliopo maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam, Vanessa Mdee
aliondoka na huzuni baada ya wajanja ‘kumchapa’ blackberry yake.
Kupitia Twitter, Vanessa ameandika:
Pamoja na hivyo show yao pamoja na Diamond ilifana sana huku Vanessa akimshukuru Ommy kwa kumwamini na kuamua kumshirikisha kwenye wimbo wake ‘Me and You’ unaohit kwa sasa.
“S/O to Ommy Dimpoz for believing in me enough to let me sing on his record. Tell my momma smgonja beat me,” alitweet Vanessa.