VITUKO VYA KRISMASI: NGUO ZA NDAN HADHARANI, SIGARA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SANA
Mrembo akiwa busy kuzikuna nyeti zake bila kujali watu....Kwake chupi si kitu.Ionekane, au isioneka kwake ni sawa tu.....
Machangdoa nao hawakukosekana....Baadhi yao walinaswa wakipiga sigara na madawa mengine ili kujipa ganzi kwa ajili ya wateja wao........
Kwa kifupi ni kwamba, Mengi yametendeka wakati wa sikukuu ya krismas.Kila mtu aliamua kutoka kivyake maadam akidhi haja zake......
Neno "machangu"ni la kawaida siku hizi....Mwanamke kuvuta sigara naona pia wamelihalalisha.......
Jambo la msingi ni kwamba TUKUMBUKE KUCHEZA SALAMA.....UKIMWI UPO NA UNAUA