RAIS wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya Mashujaa, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ amemchumbia demu mmoja aitwaye Rehema Sospeter Marwa....
“Kwa kifupi Jumapili iliyopita nilishamtolea mahari Rehema na huyo ndiye shemeji yenu. Nilitakiwa kutoa shilingi 1,900,000, nikalipa nusu na siku chache zijazo nitamalizia ili niweze kufunga ndoa,” alisema Chaz Baba.