Bwenini
Ni
ndani ya moja ya vyumba vya wasichana ambacho ndani yake kuna matandiko
haya na masanduku 13 ikimaanisha ndiyo idadi ya wasichana wanaolala
hapa.Mkuu wa Wilaya ya Ilemela akizungumza huku machozi yakimlenga kutokana na alichokiona shuleni hapo, aliagiza hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya Mkurugenzi wa shule hiyo ya Mount Zion Ilemela.