WEMA SEPETU ATANGAZA AJIRA KWENYE KAMPUNI YAKE
Kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, inatangaza nafasi za kazi
mbalimbali ikiwemo ya usekretari, graphic designer, cameraman na
editor.
“U cn also email me ur cv at endlessfameproduction@gmail.com,” ametweet Wema. .