LADY JAYDEE ATEMA CHECHE KWA WABAYA WAKE...
Wanasema ‘No Research No Right to Speak’ hivyo ingawa tunaweza kuwa
tunahisi dongo hili linawaendea akina nani, hatuwezi kutaja jina ambalo
Lady Jaydee ameamua kuliweka kapuni.Kupitia Twitter, Lady Jaydee ambaye jina lake halisi ni Judith
Mbibo ameandika kitu ambacho kimezua maswali mengi ya wapi ujumbe huu
ameuelekeza.
Jaydee ametweet:
Swali kubwa ni Je! Nani hawa wadau wa muziki wenye kauli ya kibabe kama hii?