Picha si ya Tukio Hilo.
Askari
mmoja alievalia nguo za kiraia amewekwa ndani kituo cha polisi airport
kwa kutuhumiwa kumshilka makalio mfanyakazi wa ndege wa fast jet.
Tukio hilo limetokea juzi saa nne...
Tukio hilo limetokea juzi saa nne...
Wakati askari huyo aliekuwa akienda mkoani
akiwa bwii alipofika kwenye sehemu ya usalama aanze kuvua viatu na
mengineyo gafla akaona binti amevaa kimini na huku nyuma kijungu
kikipumua kwa kweli alishindwa kuhimili ndipo akamfuata na kumshika
makalio ....
Baada ya tukio hilo, Askari wenzake walimchukua kumtuliza "sero" huku
binti akienda kufungua kesi....
Source:Jamii Forums Via Udaku
Source:Jamii Forums Via Udaku