BIASHARA YA KUSAFISHA KUCHA NA MIGUU HAINA UAMINIFU KWA WAKE ZA WATU...


Kama wewe ni mwanaume, huenda si wa kwanza kujiuliza maswali kila uonapo wanawake wengi wakiwa wamejipanga mstari kusafishwa kucha, kupakwa rangi kucha na kuoshwa miguu na vijana mbalimbali walioamua kujiajiri wenyewe.   Ni biashara maarufu mjini na ambayo inazidi kukua kila kukicha. Katika biashara hiyo wanawake husafishwa kucha na kuoshwa miguu na wakati mwingine hadi sehemu za mwili za wanawake zinazokaribia maeneo ya mapaja (sehemu sensitive haswaa). Je! Shughuli hii ina madhara katika mahusiano? Vijana hawa wanaaminika?
nails-pedicure

Hiyo ni kwasababu kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa imebainika kuwa baadhi ya wake wa vigogo na wanawake wengine nchini hufanya ngono na vijana hao wasafisha kucha na watengeneza miguu! Swali kwa wanaume: 


Unamruhusu mkeo/ mpenzi wako kwenda kupata huduma hii? Swali kwa wanawake: Kuna kitu gani special kwenda kusafishwa miguu badala ya kujisafisha mwenyewe nyumbani? Bongo5 wamekaribisha mjadala huu kwenye ukurasa  wa Facebook, na hivi ndivyo wadau wanavyojadili:


Brenda Hance: Ila jaman kupakwa rangi nao yes not bad koz wanapaka vizuri na kuturemba just like salun ila hyo ya kusuguliwa miguu sijui nn duuuh.


Mark Rose Msemwa: Kusafisha miguu na mikono ni taaluma kama taaluma nyingine, mengine ni hulka ya mtu. Mtengeneza kucha be professional, mwanamke be a good client.

Adams Davids: Nishawah mwona mwanamke eti anasafishwa miguu wakati nusu ya mwili wake uko mtupu afu kajiachia tu, na ndo maana wanauchezea afu walivyo na akili fupi wanapangwa tu kutokana na tamaa zao.


Haji Mushy: Ebwana wakina dada zetu wana tamaa sana cjui wapenz au waume zao huwa hawawaridhishi? Coz nshashuhudia matukio mengi dhidi ya hawa wapaka rangi na pia dada zetu wanavaa vimini wakati wanapokuja pakwa rangi…watu wazima na heshima zao mnaacha wanaume wenye hadhi!lllooo. Mpaka rangi mmmoja alimpa dem mmoja hv mimba iliyompelekea kuachana na masomo nakusota kitaa!til 2day!!! alikua chuo mwaka wa kwanza! Afu wengi wawapaka rang niwagosi mpaka leo ndug zake wamechukia wagosi.


Fredy Chackes: Sio kama kuna issue yyte ambayo ni xtra ordnary kwenye kusafisha kucha we hujajiuliza kwann wake wa vgogo kwa sana? ni hivi vgogo wengi wako busy na watoto wa dogo wa shule na vyuo, issue inakuja sasa wake zao pia ni binadamu wanakidh vp mahtaj ya mwili ndo jbu linaptkana kwa wasafisha kucha na vjana wengine pia simple tu.


Mohamed Mputi: Sioni ajabu hao vigogo mbona wapo bizz acheni wasaidiwe utakuta jamaa anakaa hata wiki mbili kila siku yeye anarudi usku kwanini mkeo asijisikie hamu ndoo maana hao vijana wanapomshika mkeo miguu tuu mwana mke anaanza kuhiss vibaya mara utasikia unanigusa vibaya alazima atamuliza tuu hapo ndoo shuhuli inanza mm naona nyee vigogo badilkeni wanawake nao watabadilika.


Bahati Nelly: Hahahaaaa,mbona wanaume wanaenda kufanyiwa massage,wanasuguliwa pia huko wanakandwa,mara pedicure,afu wanawachkua wadada wa humo,mkuki kwa nguruwe heheheee.

Ericka William:
Hakuna lolote na wanaume wanavoenda kunyoa na kufanyiwa Scrub hko masaloon wao ndiyo sahiHi au kwann asimwambie mkewe amsugue? Maana mwanaume anasuguliwa uso na vidole vinapitishwa maskioni mpka anansinzia kha! Na kumtaka mtu ni hulka ya mtu tu na c kwenda kutengenezwa kucha saloon hakuhusiani kabisaa.

Emmanuel Mchicha: Hzo ni story2, kama dem wako unamfanyiaga u2ndu mwing kitandan mpaka anaridhka hawez kukusalit kwa msugua miguu.

Nasiri N Mussa:
Wanawake ni watu wa kushawishka so anaweza akawa hajafkiria kufanya mapenzi lakini katka hali ya kushkwashkwa miguu anajikuta akimvumtia hisia mtu anaemshka na pengne mpenzi wake hamridhishi nayo inachagia sana.

Samantha Shyroh Mary:
kama vile huwezi jitengeza nywele we mwenyewe, the same case applies on pedicure, you can’t be able to accomplish everything that is needed!

Rukia Ali: hahaha makubwa haya mayb hawakuwi satisfied na waume zao.


Sele Rnb: Kwaiyo samantha kama huwezi kujtengeneza mwnywe ndo uachie mlango wako wazi?


Carymie Paulyne Lyniedo: shida iko wapi???


Alfer Inzaghi: Nafanya hiyo kazi na nina customer ambaye unilipa hadi nikilala naye ni kazi nzuri sana.


Nassir Ahmed Allshandy: Wanawatengeneza kucha wanawatekenya wanawagonga. Kuna stile fulan yakutengeneza kucha ukimgusa tu mwanamke lazima umchape.

David Njogu Many:
women wakuwanga small minded,very petty, vitu ndogo ndogo zinafanya watoe c***pi.

Fatya Fetty: mm nadhani kuto jiheshimu na kuto kujitambua thamani ya mwili wako.